May 31, 2024

Mkurugenzi mtendaji wa CDEA awapongeza TAFCA

Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA) Bw. Adrian Nyangamalle akipokea zawadi kutoka kwa Bi. Ayeta Wangusa Mkurugenzi Mtendaji wa CDEA mara baada ya kutembelea ofisi za TAFCA, kukutana na kufanya mazungumzo ya kimkakati ili kuimarisha ushirikiano katika kuendeleza sekta ya Sanaa na utamaduni nchini. Kikao hicho kilichofanyika leo Mei 31, 2024 kilihudhuriwa pia na Bw Marco Tibasima Katibu Mkuu TAFCA na Bi. Sarah Balozi Afisa Mwandamizi wa CDEA.

Share this post:
Facebook
Twitter
LinkedIn
WhatsApp

Discover more articles