June 5, 2024

Fursa kwa Wajasiramali na Wafanyabishara za Sanaa za Ufundi

Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA) ndg Adrian Nyangamalle akiwa na Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Bw. Marco Tibasima wamekutana na kufanya mazungumzo na wajasiriamali na wafanyabiashara za Sanaa za Ufundi na kuweka mikakati ya pamoja ya kutafuta fursa mbalimbali za masoko ndani na nje ya nchi. Kikao hicho kimefanyika leo Juni 4, 2024 katika ofisi za TAFCA zilizopo Magomeni Kagera.

Share this post:
Facebook
Twitter
LinkedIn
WhatsApp

Discover more articles