News

You are here:
TAFCA watembelea maonesho Alliance Francaise Dar es Salaam

Viongozi wa TAFCA (kutoka kushoto) Marco Tibasima (Katibu Mkuu), Rukia Walele (Makamu wa Rais) na Adrian Nyangamalle (Rais) wakipata ‘alkasus’ huku wakimsikiliza msanii mchoraji Ahmed Mohamed almaaruf Meddy Maubaka kwenye kituo cha utamaduni cha Ufaransa, Alliance Francaise Dar es salaam jana. Meddy anaendelea na onesho lake la michoro la ALKASUS litakalodumu kwa mwezi mmoja kituoni…

Read article
Fursa kwa Wajasiramali na Wafanyabishara za Sanaa za Ufundi

Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA) ndg Adrian Nyangamalle akiwa na Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Bw. Marco Tibasima wamekutana na kufanya mazungumzo na wajasiriamali na wafanyabiashara za Sanaa za Ufundi na kuweka mikakati ya pamoja ya kutafuta fursa mbalimbali za masoko ndani na nje ya nchi. Kikao hicho kimefanyika leo Juni…

Read article
Mkurugenzi mtendaji wa CDEA awapongeza TAFCA

Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA) Bw. Adrian Nyangamalle akipokea zawadi kutoka kwa Bi. Ayeta Wangusa Mkurugenzi Mtendaji wa CDEA mara baada ya kutembelea ofisi za TAFCA, kukutana na kufanya mazungumzo ya kimkakati ili kuimarisha ushirikiano katika kuendeleza sekta ya Sanaa na utamaduni nchini. Kikao hicho kilichofanyika leo Mei 31, 2024 kilihudhuriwa…

Read article